FluxVib

Sammy Leshore Ateuliwa Kuchukua Nafasi ya Isaac Mwaura Licha ya Amri ya Mahakama

- Leshore alikuwa seneta wa zamani wa Samburu - Mwaura alielekea mahakamani kumzuia Spika wa Seneti Kenneth Lusaka kutangaza kiti chake wazi - Hata hivyo kiti chake kilitagazwa wazi kufuatia mgogoro uliokuwepo kati ya Mwaura na chama cha Jubilee Sammy Prisa Leshore ametangazwa kwenye bunge kuchukua nafasi ya Isaac Mwaura kama mwanachama wa Seneti anayewakilisha watu wenye ulemavu. Katika tangazo lililochapishwa kwenye Gazeti la serikali mnamo Mei 10, 2021, Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ilisema seneta mteule (Isaac Mwaura) tayari amepoteza kiti hicho.

Spanking Can Be an Appropriate Form of Child Discipline

NFL running back Adrian Peterson’s recent arrest for allegedly abusing his four-year-old son has once again sparked the debate over whether spanking is an appropriate form of discipline. Though some contend any form of physical correction equates to child abuse, there is a giant chasm between a mild spanking properly administered out of love and an out-of-control adult venting their emotions by physically abusing a child. At Focus on the Family we believe that parents have been entrusted with the incredible privilege and responsibility of shaping their children’s behavior in a positive direction.

Uhalifu Nyeri: Mfanyibiashara wa Nyeri, Nduguye Watekwa Nyara

Watu watano wametekwa nyara na familia zao zinaomba maafisa wa polisi kusaidia katika uchunguziFamilia moja inawatafuta ndugu watatu na mfanyakazi wao ambao walichukuliwa na watu waliokuwa wamejihamiNi hali ambayo imewaacha wakazi kwa hofu kuhusu usalama wao kila uchaoWafanyabiashara wa Nyeri walalamika kuongeza kwa uhalifu katika kaunti hiyo haswa utekaji nyara. Familia za watu watano zimekuwa na majonzi baada ya wapendwa wao kutekwa nyara ndani ya kipindi cha siku tano na hawajulikani waliko.

Adam Carolla Remembers Calling 'DWTS' Judge Carrie Ann Inaba a 'B*tch'

TALENTRECAP.COM Talent Dancing With The Stars Jill O'Rourke Jill O'Rourke Jill O’Rourke is a contributor at Talent Recap, writing news stories and recaps for shows like ‘AGT,’ ‘The Voice,’ and ‘American Idol.’ She graduated from the University of Georgia with a degree in English and Film Studies, and has been writing about pop culture since 2012, with previous bylines at Crushable and A Plus. Jill spends her free time binge-watching sitcoms and daydreaming about life as a hobbit → Recent Posts

African Queen: The evolution of star as a Nigerian music legend

Those were the first lines of arguably Nigeria's most biggest song ever - 2Face “African Queen.” But what he didn’t know while recording the song was that: though it was actually done for the glorification of the African beauty, those lines were more like a truthful prophecy; proclaimed by him- to himself. For in truth, 2Face's “African Queen,” was in indeed the sun that brought light to the earth of his life.